damnlyrics.com

Njooni Muniabudu

NJOONI MUNIABUDU(PATOR ALEX MARY ATIENO

Nawapenda na upendo wa milele,damu yangu imewanunu ..x2

Nimewaumba ili mnitumikie, mnipeneze na mnitukuze siku zote

Njooni muniabudu, njooni munijaribu

Watu wangu mtapata baraka,

Nitafungua madirisha ya mbinguni

Njooni muniabudu, njooni munijaribu

Njooni musikawie.

Mukiniabudu kwa roho na kweli, nitatembea pamoja nanyi

Nitashiriki pamoja nanyi, nitawajaza na roho wangu

Nitawapa uhuru na amani, nitamwaga uvuvio katitka nchi yenu.

(chorus)

Mkinibariki na fungu la kumi, nitarudisha baraka zenu

Nitafungua madirish ya mbinguni

Nitwainua juu ya mataifa, nitajibu maombi yenu

Nitaiponya nchi yenu na kanisa langu.

(chorus)

Lyrics Submitted by Andy-shahidy

Enjoy the lyrics !!!