Page format: Left Center Right
Direct link:
BB code:
Embed:

Pokea Sifa Lyrics


Pokea sifa na utukufu,kwa mengi uliotutendea,tungependa kuyataja hatuwezi...,milima mabonde umetuvisha,mabaya mazuri tumepokea,tunasema Asante kwa wema wako×2
Umefanya kwa wingi baba,Wala hatuwezi kuyahesabu×2 tukufananishe na Nini baba,hakuna cha kukufananisha nawe×2
Tuuseme Nini juu ya mambo haya yote,tuuseme Nini juu ya mambo yote×2..
Tuseme Nini,juu ya mambo hayo, Mungu akiwa upande wetu,je ni Nani atakayetutenga nao upendo wa Mungu baba,tunashinda zaidi ya kushinda katika yeye atutiaye nguvuu×2

Enjoy the lyrics !!!