damnlyrics.com

Sodoma Na Gomora

Sodoma na Gomora

Sodoma na Gomora x3

Eti walifanya nini?

INSTRUMENT...............

1. Sodoma na Gomora x3

Eti walifanya nini?

Sodoma na Gomora walitenda dhambi x2

Bwana Mungu kawateketeza na moto.

CHORUS

Hiyo, hiyo njia nzuri nikumfuata Mwokozi Bwana Yesu,

Njia nzuri nikumfuata Mwokozi Bwana Yesu,

Yeye ndiye Ngome ambaye ni Imara x2

2. Wateule wa Mungu, Wana Waisiraeli,

Walipo kombolewa wengi walifanya nini?

Wengi walisahau njia zake Mungu,

Wengi walirudia zile dhambi zao,

Bwana Mungu kawaangamiza kwa hiyo.

CHORUS

Hiyo, hiyo njia nzuri nikumfuata Mwokozi Bwana Yesu,

Njia nzuri nikumfuata Mwokozi Bwana Yesu,

(Yeye ndiye Ngome ambaye ni Imara x2) X2

3. Baada ya wokovu, Msamaha wa dhambi,

Tukisha fanikiwa kweli tusifanye nini?

Kweli tusitosheke na kumtupa Mungu x2

Tusijawe kiburi na kukosa pendo.

CHORUS

Hiyo, hiyo njia nzuri nikumfuata Mwokozi Bwana Yesu,

Njia nzuri nikumfuata Mwokozi Bwana Yesu,

(Yeye ndiye Ngome ambaye ni Imara x2) X2

Lyrics Submitted by E. Michelle Oyole

Enjoy the lyrics !!!