DamnLyrics - The center provides all the lyrics

Tunakuabudu - Ruth Wamuyu



     
Page format: Left Center Right
Direct link:
BB code:
Embed:

Tunakuabudu Lyrics


Ruth Wamuyu - Tunakuabudu
Tunakuabudu Bwana, Kwa fadhili zako,
Uketie juu Sana, Uhimidiwe daima.
Tunakuabudu Bwana, Kwa fadhili zako,
Uketie juu Sana, Uhimidiwe daima
Watawala kwa uwezo, Unafanya miujiza
Watawala kwa uwezo, Unafanya miujiza
Tunakuabudu Bwana, Kwa fadhili zako,
Uketie juu Sana, Uhimidiwe daima
Tunakuabudu Bwana, Kwa fadhili zako,
Uketie juu Sana, Uhimidiwe daima
Nakuinua Mfalme, Mtakatifu Ni wewe tu,
Nakuinua Mfalme, Mtakatifu Ni wewe tu.

Tunakuabudu Bwana, Kwa fadhili zako,
Uketie juu Sana, Uhimidiwe daima.
Tunakuabudu Bwana, Kwa fadhili zako,
Uketie juu Sana, Uhimidiwe daima.
Mkono wako waokoa, mkono wako waponya,
Mkono wako waokoa, mkono wako waponya.
Tunakuabudu Bwana, Kwa fadhili zako,
Uketie juu Sana, Uhimidiwe daima.
Tunakuabudu Bwana, Kwa fadhili zako,
Uketie juu Sana, Uhimidiwe daima.
Mkono wako wainua, mkono wako waweza,
Mkono wako wainua, mkono wako waweza.
Tunakuabudu Bwana, Kwa fadhili zako,
Uketie juu Sana, Uhimidiwe daima.
Tunakuabudu Bwana, Kwa fadhili zako,
Uketie juu Sana, Uhimidiwe daima.
Lyrics by:
Gideon Kimani (GidKim Melodies)
Lyrics Submitted by GidKim Melodies

Enjoy the lyrics !!!