Unastahili Kuabudiwa - Upendo Nkone
Page format: |
Direct link:
BB code:
Embed:
Unastahili Kuabudiwa Lyrics
unastahili yesu kuabudiwa
unastahili yesu kuinuliwa
unastahili yesu kusujudiwa
A aaaaaaah
unastahili
mungu wetu tunakusifu.
mungu wetu twakuinua Yale uyatendayo Ni makuu mno
fàdhili zako za milele haufananishwi na chochote
milele na utadumu...)
(chorus
Lyrics Submitted by LucyRuguru
Enjoy the lyrics !!!