DamnLyrics - The center provides all the lyrics


     
Page format: Left Center Right
Direct link:
BB code:
Embed:

Usikate Tamaa Lyrics


Mbona unamawazo, ndugu yangu, mbona unawaza kila siku, najua yapo mengi yakuumizayo moyo woto tuko hivo (vumilia) unawa-ona wengi nyuzo zao za furaha si kwamba wote wana raha, rahaa,ni hivyo vumilia uvumilie ndugu ujue dunia yote haina raha.
Chorus
Na usikate tamaa, usilie sana ndugu, na kwa hayo yote, shukuru mungu kwamba wengi watamani, maisha kama hayo unayoishi, ndugu vumilia.(x2)
Ni lipi la kuumiza kiasi hicho au umekosa vi-atu vizuri lakini ukumbuke yule asiye na miguu kaumia ki-asi gani (eh) ndugu
Umekosa, elfu kumi za shilingi na mwingine elfu moja kinamtosha kwa hiyo vumilia uyasahau ndugu kila mtu duniani ameumia
Chorus(2)
Uji-chunguze jinsi ulivyo umbwa ona vidole vyako jinsi vilivyo hakuna hata kidole kinacholingana na kingine ni lipi unajifunza ndugu yangu ujue basi ni hivyo wote tungelingana tusingekua na heri duniani ni hivyo vumilia dunia ndivyo ilivyo tuvumilie kwa yote mtetezi yupo
Chorus(x3)
Lyrics Submitted by Steve Kwemoi

Enjoy the lyrics !!!