Utabaki Kuwa Mungu - Addo November



     
Page format: Left Center Right
Direct link:
BB code:
Embed:

Utabaki Kuwa Mungu Lyrics


Utabaki kuwa munguUtabaki kuwa munguUtabaki kuwa munguJehova shama ×3Bwana ulisema (Bwana ulisema)Bwana ulisema (Wanipenda upeo)Bwana ulisemaWanipenda sanaDunia nzima iniache, kama wewe wanipendaMimi sitapungukiwa na chochoteNdo maana leo ninaimbaWatu wote waelewe kwambaWewe ndiwe Mungu, Jehova shama.Umeandaa meza kubwa ee, mbele ya watesi wanguUmenipa mali nyingi na wanaonaIsitoshe wewe bwana, umenizingira kwa wigoUle wigo wa Ayubu nami ninaoUmenipa marafiki, tena wazuri wa kutoshaUmenipa waombaji waniinueMaana wewe ndiwe MunguDunia nzima yakuhimidi jina lako YesuYeeesuuu, Yeesuuu.Yule msichana nilodhani mke, amenikimbia, mi sikuachiMwanadamu kitu gani ee, zaidi yako we mwokozi eeeAlikuwepo Cleopatra sasa mifupaYule mwanamama ulompa mume, ametelekezwa ye hakuachiMwanaume kitu gani, zaidi yako we mwokoziUtabaki kuwa Mungu, nakuabudu.Kila mwenye pumzi amsifu BwanaKila mwenye uhai akuabuduTukijifanya wa kiburi utayainua maweMaandiko yanasema, wala si mimi..
Lyrics Submitted by Isack Paschal

Enjoy the lyrics !!!