Ni Salama Rohoni - Nuru Kitambo



     
Page format: Left Center Right
Direct link:
BB code:
Embed:

Ni Salama Rohoni Lyrics


Nionapo amani kama shwari au nionapo shida ,nitajipa moyo Kwani n salama rohoni mwangu
Salama rohoni ni salama rohoni mwangu
Ingawa shetani atanitesa,nitajipa moyo kwani kristu ameuona unyonge wangu,amekufa kwa ajiri yangu
Dhambi zangu zote Wala si nusu ,zimewekwa msalabani,Wala sijukui rahana yake,ni salama rohoni
E bwana imiza siku ya kuja,panda itakapolia , utakaposhuka sitaogopa,ni salama rohoni
Lyrics Submitted by Omariba sheba

Enjoy the lyrics !!!